March 30, 2016

Download wimbo: Natamani - Paul Clement Ft Nelly Music.

Leo tena tumepata fursa ya kukuletea wimbo mpya kabisa wa kuabudu kutoka kwa Bro. Paul Clement akiwa na Nelly music wimbo unaitwa Natamani.