March 5, 2016

Mtoto wa rose muhando adai kutokewa na yesu na kuambiwa haya. (+video)


Kutana na "Annoint Essau Aman" mtoto wa  kwanza wa malikia wa muziki wa injili Bi. Rose Muhando, Annoint Essau Aman adai kutokewa na Yesu na kuambiwa maneno haya. 

Isikupite hii: Mambo 11 usiyoyajua kuhusu Rose Muhando.

Tazama video hapa chini.