March 22, 2016

LULU ATOA SADAKA YA SHURANI KANISANI KWAKE BAADA YA KUSHINDA TUZO.

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ Elizabeth Michael a.k.a Lulu siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo Ndegi’ na kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu aliyemuwezesha kupata ushindi wa tuzo.

“Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu pamoja Baba na Mama hakika sijutii kuokoka kwangu na ata wakisema vyovyote I don’t care mimi ni mradi namuomba Mungu na mambo yangu yanaenda.” Alisema Lulu.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.