April 5, 2016

DOWNLOAD WIMBO: NINAKUPENDA - NOVIC BCVM FT. JADAH.

Baada ya kimya kirefu cha bila kuachia nyimbo hatimaye NOVIC BCVM rapa wa muziki wa Injili kutoka Dar es salaam,Tanzania akiwa amaemshirikisha mwanadada JADAH ameamua kuuvunja ukimya huo kwa kuachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la #NiNaKuPeNDa.


By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.