April 5, 2016

HUYU NDIE DIRECTOR ATAKAE SHOOT COLLABO YA CHRISTINA SHUSHO NA DON MOEN.

Linapokuja suala la video basi lazima uchague director yenye uwezo mkubwa, Kama Dir. J Blessing ambae amewahi kushinda tuzo kadhaa, ujuzi wake katika sanaa umepelekea yeye kuchaguliwa ku-direct (kushuti) Collabo ya Christina Shusho na Don Moen.

Don Moen na Christina Shusho walikutana mwishoni mwa mwaka jana, wakati Don Moen alipoenda nchini Kenya kufanya tamasha na wakakubaliana kufanya Collabo ambayo itasaidia kueneza injili barani Ulaya na Afrika.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.