April 22, 2016

Download wimbo: Take it slow - Willy Paul Feat Sauti Sol.

Mabibi na mabwana leo tena tumepata fursa kukusogezea wimbo mpya kabisa toka Willy Paul Featuring Sauti Sol, wimbo unakwenda kwa jina la Take it slow. Wimbo unahusu maisha ya vijana na mambo pamoja na maamuzi wanayoyafanya kila siku.