Tazama video mpya "Bwana Nakungoja" by Edna Kuja, toka katika latest album yake "Amenifuta Machozi". DVD album hii ya "Amenifuta Machozi" zinapatikana. Wasiliana nasi kwa hii namba 0717452737 kupata DVD yako. Enjoy!
By Chief Hope
Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.