April 19, 2016

GOOD NEWS: ANGEL BENARD AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME.

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Tanzania ambaye kwa sasa anatamba na video yake ya Salama, Angel Benard alfajiri ya leo amejifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya AICC huko Arusha.
Mume wa mwanamuziki huyo bwana Godsave Sakafu amethibitisha hilo kwa kuandika kwenye ukuta wake wa facebook kuwa wamepata mtoto wa kiume na wamempa jina la Brachah Testimony.
At the AICC hospital alfariji ya leo a baby a boy Brachah Testimony Godsave is born (BT) Tunamshukuru Mungu kwa baraka hii. Mama na mtoto wapo salama“ ameandika mume wa mwimbaji huyo.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

 Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.