April 21, 2016

GOSPO MEDIA WANAKUTANGAZIA NAFASI YA KAZI.

Gospo media inatangaza nafasi ya ajira kwa dada mmoja atakayefanya kazi mahali popote alipo na mtandao wa gospomedia.com kuanzia mwezi wa tano Mwaka hu wa 2016.

Sifa na vigezo ni 
1. Awe mtanzania na mwenye akili timamu anayepatikana Dar es salaam 
2. Awe na umri kati ya miaka 18 na 25 
3. Aweze kutumia computer vizuri 
4. Awe anajua kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza 
5. Awe anatumia smartphone.

Kwa dada yeyote mwenye sifa zilizopendekezwa hapo juu tafadhali wasilisha maombi yako kupitia WhatsApp +255755038159 ukiambatanisha maelezo yako yanayohusu jina lako wapi unatoka elimu yako na picha yako moja usaili utafanyika hapo hapo utakapotuma maombi, na dada atakayefanikiwa basi atapatiwa laptop na modem atakayoanza nayo kazi kuanzia mwezi wa tano. Karibuni sana

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.