May 2, 2016

Askofu gwajima asema haya kwa mh. Magufuli na mafisadi.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema "mafisadi walioinyonya nchi katika Serikali ya awamu ya nne, ndiyo wanaoona utawala wa Rais Magufuli haufai".

Isikupite hii: Askofu Gwajima kuleta private jet mpya Tanzania.

Wasikukatishe tamaa endelea hivyo hivyo kuna wanyonyaji walipenyeza mirija yao katika serikali iliyopita wakati wao umefika, sasa wanatapatapa.