• Isikupite Hii

  April 19, 2016

  PICHA 6 ZA DARAJA LA KIGAMBONI. (ZIKO HAPA)

  Daraja la Kigamboni linaweza kuja kuwa kivutio kingine muhimu jijini Dar es Salaam. Ni kwasababu daraja hilo la "cable – stay" (linalobeba uzito kwa nyaya au kamba) likiwa na urefu wa mita 680

  Hizi ni baadhi ya picha za daraja jipya la kingamboni.
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.