May 2, 2016

Picha za ghorofa (jumba jipya) la Askofu Dastan Maboya.

Nimekusogezea baadhi ya picha za jumba jipya la Askofu Mkuu Wa CAG, Mtume Danstan Haule Maboya. (huko mkoani Arusha)
Ni maombi yetu kwamba Mungu azidi kuwa-bariki watumishi wake.