April 7, 2016

Star wa movie za Fast and Furious 'Vin Diesel' ajiunga na kuimba na kwaya kanisani. (+Video)

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini marekani Vin Diesel mwenye umri wa miaka 49, anaetamba na movie ya Fast and Furious, amewaacha watu midomo wazi baada ya kuimba wimbo wa "Oh Happy Day" kanisani na kwaya ya kanisa.

Pia mwigizaji huyo alisema "Nataka kusema, ndoto yangu siku zote ni kwamba nipate ujasiri wa kuweza kuimba katika kwaya".

Tazama video hapa chini.