April 11, 2016

Download wimbo mpya: Nifunze - Janet Otieno.

Mabibi na mabwana, Leo tena tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa Bi. Janet Otieno, ametusogezea wimbo mpya Nifunze