April 21, 2016

MUSIC VIDEO: TAKE IT SLOW - WILLY PAUL FEAT SAUTI SOL.

Video mpya "Take It Slow " yani "pole pole" Willy Paul Featuring Sauti Sol. Wimbo unahusu maisha ya vijana na mambo pamoja na maamuzi wanayoyafanya kila siku. 
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.