April 15, 2016

T.B Joshua kwenye tuhuma za ufisadi wa panama, yeye ajibu hivi.

Miongoni mwa habari kubwa za dunia hivi karibuni ni Nyaraka za Panama 'Panama Papers' zilizofichua kashfa ya ukwepaji kodi na utakatishaji fedha ulikofanywa na viongozi wa mataifa mbalimbambali, watu maarufu na wanasiasa wakubwa duniani.

Inasemekana nyaraka hizo za Panama zilizovuja pia zilimtaja kiongozi na mwanzilishi wa kanisa Synagogue Church of All Nations ‘SCOAN’, T.B Joshua na mkewe Evelyn kwamba wanamiliki kampuni ya Chillon Consultancy Limited.

Tuhuma hizo zilianza kuchapishwa na mtandao wa habari wa Premium Times ambapo kupitia official page yake ya facebook T.B Joshua ameonya dhidi ya kauli za kumkashifu yeye na kanisa lake na kusisitiza kwamba yeye sio mfanyabiashara na hana hizo biashara.

TB Joshua amesema habari hizi zimeandikwa na Mwandishi wa habari ambaye wamekua hawaelewani toka jengo la kanisa hilo lianguke na kupoteza maisha ya watu, kutokana na kutoelewana huko TB Joshua amekua akipokea mfululizo wa habari mbaya zinazoandikwa na Mwandishi huyo wa habari.


Hichi ndicho alichoandika TB Joshua kupitia ukarasa wake wa facebook.

I HAVE NOTHING TO DO WITH THE PANAMA PAPERS – TB JOSHUA
This is an official statement from Prophet T.B. Joshua:
“I was shocked to find a report written in Premium Times (http://www.premiumtimesng.com/…/201600-panamapapers-reveal-…) claiming that the Panama Papers revealed a shell company called Chillon Consultancy Limited in the British Virgin Islands, allegedly owned by me. Whoever is involved in this malicious write-up and propaganda with an obvious intent to defame my person and the ministry, remember what the Bible says in Luke 2:34 – “This child is destined to cause the falling and rising of many… and to be a sign that will be spoken against.” 
“I am not a businessman and have no business whatsoever. What God has given me is more than enough. I have nothing to do with the Panama Papers. As for me and my family, we shall remain in the vineyard of God.
“Premium Times – do not allow your company to be used. Do not allow your company to stand against God. This is a lie! Take note – this news was written by the same journalist who alleged that I bribed him during the building incident and went to different channels – both local and international – to propagate these fabrications. Since the building incident, there have been a series of threats towards the ministry and my person by this same journalist, Nicholas Ibekwe, who represents a gang of people. 
“After everything that has been done in an attempt to destroy this ministry, this is what he has resorted to. Even the picture used in the write-up is taken from the Mexico Crusade I recently held. It was a crusade I went for, nothing more. 
“Do not use the Panama Papers to attack those you have been looking for an opportunity to victimise. This is to show that not everybody alleged in the media to be involved in the Panama Papers is truly involved. My own case is a good example. 
“Beware of those using the Panama Papers for fraudulent purposes! This is a very big mistake the fraudsters have made. Those who read this report – take time to do your findings. It is malicious.” 
“Note – people are misusing the data in the Panama Papers for fraud to attack innocent people.”
Attached is the picture of Nicholas Ibekwe and one of the many emails he has sent to The SCOAN.