Hello! Na leo tena tumekusogezea ngoma mpya toka Bi. Christina Shusho, Mwanadada anayetemba katika tasnia ya muziki wa Injili East na central africa. Wimbo unaitwa Waranda randa mbao.
Isikupite hii: Christina shusho apata dili kali africa magic (dstv).