April 7, 2016

DROPPING SOON: WILLY PAUL FT SAUTI SOL.

Willy Paul ni mmoja kati ya waimbaji wa muziki wa injili wanaofanya vizuri zaidi nchini Kenya, masaa machache yaliopita Willy Paul ali-post cover hii iliyoandikwa "Willy Paul Msafi Ft Sauti Sol, Brand new single, dropping soon!"

Download Wimbo: Vumilia - Boss M.o.g Ft Size 8 Reborn.

Bado, mpaka sasa atujajua Release date na jina la wimbo. Tukipata taarifa zaidi tutakujuza, Endelea kutembelea Timheaven.com. Asante!


By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.