May 14, 2016

Download wimbo mpya: Utakatifu - Rungu La Yesu.

Nimekusogezea single nyingine mpya na kali toka kwa Rungu La Yesu, legend wa Gospel Hip Hop hapa Tanzania, inaitwa "Utakatifu", Produced by Amani Joseck a.k.a Mr Enzi ndani ya studio mpya kabisa Enzi Records. Enjoy!