Featured Posts

May 13, 2016

TUKUTANE 'MASANJA WALI NYAMA' KESHO, KWENYE UZINDUZI HUU. HAKUNA KIINGILIO!!

Tukutane kesho pale Tabata Magengeni, kwenye mgahawa wa Masanja Wali Nyama kuanzia saa 11:00 jioni hadi saa 1:00 usiku.

Ambapo kijana wetu wa nguvu 'Gazuko' atakuwa akizindua website yake Www.Tumefikamedia.com, Ambayo itahusika na habari za wasanii, nyimbo mpya, makala, mahojiano n.k.

Waimbaji mbalimbali watakuwepo pamoja na msosi wa bure kabisa. Usikose!

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.