• Isikupite Hii

  May 29, 2016

  MUSIC VIDEO: AMENISAIDIA - MARTHA MWAIPAJA.

  Wapendwa katika Bwana, Nachukua fursa hii kuwakaribisha mpate fursa ya kuitazama video mpya toka kwa Bi.Martha Mwaipaja iitwayo "Amenisaidia". Video hii inapatikana katika Dvd Album yake mpya "Naiona Kesho". 
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.