• Isikupite Hii

  May 16, 2016

  MASANJA AMWOMBEA NA KUMPA RAIS MAGUFULI STYLE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU.

  Mchekeshaji Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji siku zote haishiwagi vionjo vya maneno ya kufurahisha, iwe kuongea hata wakati mwingine tembea yake tu ni lazima ucheke.

  Sasa leo nakukutanisha naye kwenye hii video hapa chini akimpa Rais Magufuli Style mpya ya kutumbua Majipu na mwisho kumuombea.
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.