May 13, 2016

Siri za matajiri wakubwa zafichuka. (soma hapa)

Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo.
1. Wanafanya kazi kwa bidii zote - Sio wavivu. 
2. Hujali wakati (Mda) zaidi ya fedha - Sio wazembe 
3. Wanadhamiria kufanya kitu 100% (focused) - Hawaruki huku na kule. 

Soma: Mambo 6 Ambayo Watu Wenye Mafanikio Hawapotezi Muda Kuyafanya.

4. Wanafikiria kwa undani sana kabla ya kutenda jambo. - Hawaogopi kufanya vitu. 
5. Ni watoaji wa fedha- Sio mabahili wa fedha. 
6. Hujishusha ili kujifunza mambo mapya - husikiliza watu wengine. 
Jiulize Kama Una Tabia Hizo. Ukijifunza Tabia Hizo Lazima Utakuwa Tajiri.

Tazama video: Ukweli kuhusu maisha na jumla ya utajiri wa Baba wa Taifa JK Nyerere