• Isikupite Hii

  May 25, 2016

  DOWNLOAD WIMBO: MAISHA YA WOKOVU - SIRMBEZI FT CHIEFHOPE.

  Maudhui makuu ya wimbo huu ni kuwatia moyo waamini wote walioamua kuianza safari ya imani katika Kristo Yesu kuwa wasiishie njiani kwani ipo taji ya uzima

  SirMbezi ana furaha kubwa kukushirikisha kwenye wimbo huu na anaamini utakupa changamoto. Kwa maswali, maoni na mawasiliano SirMbezi anapatikana kwa namba +255657 044 315, sirmbezibrands@gmail.com na mitandao ya kijamii kwa jina la SirMbezi

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.