Featured Posts

May 31, 2016

Download wimbo: Ni Yesu - Size 8 reborn.

Size 8 reborn, Msanii wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya lakini pia Host wa kipindi cha Pambao kinacholuka kila jumapili Dstv maisha magic, anapenda kukukaribisha udownload wimbo wake mpya Ni Yesu. 

ADownload  wimbo kabisa "Ni Yesu" all the way from 254 (Kenya) by Size 8 Reborn.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.