May 16, 2016

Tabia 8 ambazo huwafanya wanawake wengi washindwe kuingia katika ndoa.

1. Kuona taasisi ya Ndoa kama Utumwa
2. Kutaka mwanaume tajiri
3. Kutompata Mwanaume Ampendae
4. Kuchagua mno Wanaume wa Kumuoa

 Soma: Sifa 7 Za Mwanamke Wa Kuoa (Wife Material).

5. Kujiona ni mzuri sana
6. Kujiona ana Umri mdogo
7. Kutaka maisha ya Tamthilia (Ndoa za kuishi kwa furaha milele)
8. Vigezo vilivyopitiliza viwango (hasa kwa muonekano)