May 25, 2016

Picha za sungura mkubwa kuliko wote duniani (+video).

Huyu ndiye Sungura mkubwa kuliko wote duniani ana-urefu wa futi 4, Ukiachana na vyakula vingine sungura huyu hula zaidi karoti zaidi 2,000 na ma-apple 700 Kwa mwaka mzima, Ambayo humghalimu mfugaji zaidi £5,000.