May 9, 2016

VICTOR MBAGGA KUACHIA DVD ALBUM (MPYA) HIVI KARIBUNI.

Mwimbaji Victor Mbagga anatarajia kuachia Dvd Album Mpya inayokwenda kwa jina la "Utawale YESU" Julai mwaka huu.

Victor Mbagga akiongea na ripota wa Timheaven.com alisema "Dvd album yangu ina nyimbo 8, na ktk album hii nimemshirikisha mwimbaji wa kimataifa anayewika sana kwa sasa ndani na nje ya nchi pia, na nina-amini kwamba Dvd album hii itafanyika baraka kwa watu wengi"
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.