• Isikupite Hii

  June 13, 2016

  BISHOP ABRAH AFANYA COLLABO NA MWIMBAJI STEPSUP WILLIAM WA NIGERIA .

  Setsup William ni mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, Mbali na uimbaji, Stepsup William ni producer anaefanya vizuri kabisa huko Nigeria. 

  Producer huyo aliachia E.P (album) yake, jana, inayokwenda kwa jina la IMPACT. Ep hiyo ina nyimbo 7 na katika wimbo namba 2 uitwao "God Cares" utapata fursa ya kumsikia Bishop Abrah wa hapa hapa nyumbani (Tanzania) hii ni ishara kwamba muziki wa Gospel Hip Hop Tanzania unazidi kukuwa na kwenda mbele zaidi.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.