June 2, 2016

DMY KUACHIA VIDEO MPYA J'PILI HII.

Dmy ni mmoja kati ya Christian Rappers wa bongo wanaofanya vizuri zaidi katika uandishi wa mashairi na staili ya kipekee ya kurapu mashairi hayo,  kwenye ulimwengu wa Gospel Hip Hop Tanzania.

Download Wimbo: Mwema - D.m.y Ft Pamsam.
Kupitia account yake ya Instagram Dmy ametangaza kuachia video ya single "Mwema" Jumapili hii. "This Sunday Official Launching of MWEMA VIDEO.. Jeans and T-shirt @JNT" alisema Dmy. 
By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.