• Isikupite Hii

  June 14, 2016

  ASKOFU GWAJIMA ASEMA MAZITO KUHUSU SERIKALI YA JK NA KUMSHAURI MH. MAGUFULI. (+AUDIO)

  Askofu Mkuu wa kanisa la Ufufuo Na Uzima Dr. Josephat Gwajima afunguka na kusema maovu, yaliotendwa na Serikali ya awamu ya nne (4). 

  Pamoja na hayo Askofu Gwajima amempa ushauri Mh. Magufuli kuhusu sakata/mpango unao-endeshwa na vigogo wakubwa, chini kwa chini wa kumnyima uenyekita wa chama katika chama cha mapinduzi (CCM).

  Sikiliza hapa chini.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.