July 2, 2016

MAKANISA 60 YAFUNGWA, KISA KELELE. SOMA ZAIDI HAPA.

Mamlaka katika mji wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika jitihada za kupunguza kelele.

Karibu hoteli kumi na klabu kadha nazo zilifungwa.

Mji wa Lagos una karibu watu milioni 10 huku, honi za magari, maombi kutoka misikitini na nyimbo makanisani vikitawala mji huo.

Mwezi Agosti utawala ulifunga maeneo 22 baada ya wenyeji kulalamika kutokana na kele zilzokuwa zikitoka maeneo hayo.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.