• Isikupite Hii

  June 13, 2016

  PICHA 7 ZA MASANJA MKANDAMIZAJI AKIVUNA MPUNGA SHAMBANI KWAKE.

  Hizi ni baadhi ya picha za Masanja Mkandamizaji akiwa kwenye mashamba yake ya mpunga.
  Kupitia account yake ya facebook Masanja alisema "Uvunaji unaendelea leo usiku tunamalizaa, na kesho mapemaaa safar ya tunduma ktk huduma. Mungu ataniwezesha, asanteni kwa maombi yenu, nami nawaombeaa marafiki zanguu"
  Ushauri: Vijana wenzangu nadhani kwamba Masanja Mkandamizaji ni mfano mzuri wa kuigwa.
  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.