• Isikupite Hii

    June 8, 2016

    TAZAMA LIVE SHOW YA SIRMBEZI KWENYE USIKU WA GOSPEL HIP HOP.

    SirMbezi ni moja kati ya Marapa wa injili wanaofanya vizuri kwa sasa. Leo nimekuletea video ya alivyotumbuiza kwenye tamasha la Usiku wa Gospel Hip Hop lililofanyika tarehe 27 mei 2016 kwenye kanisa la TAG Tababata Segerea Chama jijini Dar es salaam. Barikiwa Sana!!By Chief Hope 

    Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
    Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.