• Isikupite Hii

  June 16, 2016

  POLISI WAIZINGIRA NYUMBA YA ASKOFU GWAJIMA TENA.

  Masaa mawili (2) yaliopita East Africa Tv kupitia ukurasa wake wa facebook walilipoti kwamba "Polisi 6 wakiwa ndani ya Landcruiser wamezingira nyumbani kwa Askofu Josephat Gwajima, sababu za kufanya hivyo bado hazijafahamika, tutaendelea kuwajuza kadri tunavyoendelea kupata taarifa."
  Endelea kutembea blog hii Timheaven.com kwa taarifa zaidi.

  Soma: Askofu Gwajima Asema Mazito Kuhusu Serikali Ya Jk Na Kumshauri Mh. Magufuli. (+audio)

  Source: Mpekuzihuru & Eatv

  By Bishop Abrah 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.