July 2, 2016

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE KUITIKISA MWANZA.

Mwl Christopher Mwakasege anatarajia kuanza semina ya nguvu ya Neno la Mungu jijini Mwanza kuanzia tarehe 19/7/2016 mpaka tarehe 26/7/2016

Semina hii inatarajia kufanyika katika viwanja vya Furahisha, pia itakuwa ikirushwa LIVE kutoka katika kituo cha redio cha HHC Alive cha jijini Mwanza. Kwa mkazi wa Mwanza hii sio ya kukosa.

Source: Hosanna Kwanza.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.