July 19, 2016

Download wimbo: Hakuna mungu kama wewe - Benson Abel x Beddah Andrew x Brendah x Nehemiah.

Kama ilivyo kawaida yetu kuhakikisha wewe unapata nyimbo mpya za injili kila siku. Leo pia tumekusogezea wimbo mpya toka kwa Benson Abel, Beddah Andrew, Brenda na Nehemiah, wimbo unaitwa Hakuna Mungu kama wewe.