July 11, 2016

Download wimbo mpya: Mungu umenihurumia - Beatrice Mwaipaja.

Baada ya kusikika katika album ya kwanza Kumbe ni kwa neema, Beatrice Mwaipaja anakuletea album mpya itakayoitwa Tutafika Salama. Anaanza kwa utambulisho wa wimbo huu Mungu Umenihurumia. Enjoy!