July 18, 2016

MASANJA MKANDAMIZAJI AJA JUU NA STAILI YA RAIS MUSEVENI (+PICHA)

Baada ya Rais wa Uganda Bw Yoweri Kaguta Museveni kuzua kioja katika kijiji cha Kyeirumba, wilaya ya Isingiro karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania aliposimamisha msafara wake wa magari na kuweka kiti barabarani ili apokee simu "ya dharura". 
Mchekeshashi maarufu Tanzania, Tajili kijana, mchungaji na mwimbaji maarufu Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ametupia picha kama ya Museveni katika ukurasa wake wa facebook akiwa ameandika "UNYENYEKEVU NA UTII PALE UNAPO PIGIWA SIMU YA MCHANGO WA HARUSI!".

Soma: Masanja Mkandamizaji Amvisha Pete Mchumba Wake. (+video)

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.