July 9, 2016

Picha 4 za Mwl Christopher Mwakasege akiwa na mke wake.

Kama ulikuwa humjui mke wa Mwalimu Christopher Mwakasege, basi hapa nimekusogezea baadhi ya picha za mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege akiwa na mke wake Diana Mwakasege.