July 24, 2016

Mambo 6 ambayo watu wenye mafanikio hawapotezi muda kuyafanya.

1. Hawapotezi muda kwenye mitandao ya kijamii.

2. Hawapotezi muda kufikiria makosa yaliyopita.

3. Hawapotezi muda kuanza siku bila kuipangilia.

4. Hawapotezi muda kufikiria mambo yanayofanywa na wengine.

5. Hawapotezi muda kuwa na watu hasi.

6. Hawapotezi muda kwa mambo wasiyoyaweza kuyatawala.Tazama video: Majaribu ofisi ya Mchungaji, nyie wadada Mungu anawaona!