• Isikupite Hii

  August 17, 2016

  MUSIC VIDEO: NIMESAMEHE - GOODLUCK GOZBERT.

  Goodluck Gozbert ni mwanamuziki wa nyimbo za injili anayekuja kwa kasi kubwa kwenye tasnia ya Muziki wa Injili hapa nchini.

  Na leo anakukaribisha upate kuitazama video yake mpya "Nimesamehe". Enjoy!

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.