• Isikupite Hii

    August 8, 2016

    Askofu Gwajima akutana na waziri mkuu Majaliwa.

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Uzima na Ufufuo katika hafla ya harusi ya Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Amon Mpanju na mkewe Analises iliyofanyiak kwenye ukumbi wa jeshi wa Lugalo jijini Dar es salaam Agosti 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)