Featured Posts

August 1, 2016

NDOA YA MWANADADA ANGEL BENARD WATIMIZA MWAKA.

Mwimbaji mahiri wa muziki wa injili na Angel Benard na Mume wake Godsave Sakafu wametimiza mwaka mmoja tangu wafunge ndoa tarehe 1/8/2015.

Kupitia ukarasa wake wa facebook, Mwanadada Angel Benard ameandika haya.
THANK YOU LORD FOR ONE YEAR.Ni ngumu kufafanua hisia halisi zaidi ya kumshukuru Mungu sana sana.# Forever is ahead of us, Lord keep us True.# love you babe ‪#‎thank‬ you for being you‪#‎lovr‬ in the air...hahaha
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.