Featured Posts

August 16, 2016

PICHA 5 ZA MASANJA MKANDAMIZAJI NA MKE WAKE WAKIWA HONEYMOON.

Baada ya sherehe zote za harusi kukamilika, kwa niaba ya Mke wake, Masanja mkandamizaji alitoa shukrani zao za dhati kwa sapoti ambayo ndugu, jamaa na marafiki waliionesha kwao.


"Amani Marafiki Zetu, 
Naomba Nichukue Nafasi Hii Kwa Niamba Ya Mke Wangu Monica Kuuwashukuru Wooote Kwa Kushirikiana Nasi Ktk Safari Ya Kuanzia Siku Ya Engagement Mpaka Siku Ya Haruc!!
Hakika Nimeamini Ninao Marafiki Wengi Jaman Hadi Rahaaaa, Ninahakika Tutaendelea Kushirikiana Pamoja Ktk Jambo Lolote Ambalo Unadhani Naweza Shiriki
Yaan Harucn Nilifurahi Kuonana Na Marafiki Zangu Za Maaaaaani Tukijumuika Kwa Pamoja,
Jamani Asanteni Sana Sanaa Sanaa
Tuendelee Kuombeana Nasi Ndo Kwanza Tunaanza (Honey Moon) Mdogo Mdogo!!" alisema Masanja.
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.