• Isikupite Hii

  August 22, 2016

  USIKOSE KTK UZINDUZI HUU WA ALBUM YA MIC GOWER IITWAYO 'REMISSION'.

  Uzinduzi wa album ya rapper Mic Gower iitwayo Remission utafanyika kwenye kanisa la T.A.G Tabata Segerea (DMC).

  Siku ya Jumapili tarehe 28-8-2016 kuanzia saa tisa mchana, akisindikizwa na wakali wengine kama Peter Banzi, Huru Kweli, Elly Joh, Rungu La Yesu na wengine wengi. Bila kumsahau Dj jazz. Album itauzwa kwa Tsh 5000/=


  Tshrt za r4c na remission zitapatikana siku hiyo. 


  Watu 20 wa mwanzo watapata audio cd bure. Karibu wote. Hakuna kiingilio  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.