Featured Posts

August 1, 2016

WAISLAMU WAJIUNGA NA WAKATOLIKI KATIKA IBADA.

Waislamu zaidi ya mia moja wamejumuka na Wakatoliki katika sala iliyohudhuriwa na waumini wengi katika Kanisa moja huko Rouen, Ufaransa.

Tukio hilo limewadia, siku tano baada ya kasisi wa kanisa hilo , kuuawa na wapiganaji wa Kiislamu.

Makanisa sehemu mbali mbali za Ufaransa, yaliwaalika WaIslamu wajumike nao kwenye maombi leo, kuonesha wanakanusha mauaji hayo.

Mauaji ya hivi karibu kabisa yaliyotekelezwa na wapiganaji wa Kiislamu, yameshtua Ufaransa.
Kasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.