Featured Posts

August 24, 2016

Downoad wimbo: Waraka wa pili - Yesu okoa mitaa.

Nimekusogezea wimbo mpya toka kwa vijana wa Yesu Okoa Mitaa hapa namwongelea Rungu La Yesu, SirMbezi, Bishop Abra, Fundi Wa Yesu, Dona na Morefire Ngoma inaitwa 'Waraka Wa Pili'. Enjoy mtu wa Mungu.


By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari, makala juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.