September 21, 2016

Video: Mambo ya muhimu usiyo yajua kuhusu Bahati Bukuku, maisha, pesa, kilimo n.k.

Katika video hii utamsikia Bahati Bukuku akieleza maisha yake ya nyumbani upendelea kufanya nini? Amezungumzia waimbaji wapya katika kizazi kipya cha muziki wa Gospel, Je kuimba kwake kutakapo fikia ukomo atafanya nini?

Tazama Interview akiwa na Jt Tv