Featured Posts

September 13, 2016

Download wimbo: Prayers change - R.Kelly.

 JE UNAJUA MAMBO YANABADILISHA MTU!! DOWNLOAD HUU WIMBO KWA R.KELLY UITWAO "PRAYERS CHANGES"
                                               

Historia fupi ya R Kelly 

R.KELLY amezaliwa tarehe 8 mwezi wa kwanza mwaka 1967 ni mwimbaji kutoka marekani mwanzo r.kelly alikuwa mchezaji basketball.                                           

R.KELLY alianza kutumbwiza jukwaani mnamo mwanzoni mwa miaka ya 1980 na akaanza kujulikanana rasmi mnamo mwaka 1990 akiwa na kundi la Public Announcement mwaka 1993.


Soma: historia fupi ya maisha ya Goodluck Gozbert.


R.KELLY alitoa albamu yake mwenyewe yenye jina la PLAY nyimbo zake zilizotamba enzi hizo zilikuwa "Bump N' Grind", "Your Body's Callin'", "I Believe I Can Fly", "Gotham City", "Ignition (Remix)", "If I Could Turn Back the Hands of Time", "The World's Greatest", "I'm a Flirt (Remix)", na hip-hopera "Trapped in the Closet".


Mwaka 1998 r.kelly alipata tuzo tatu za GRAMMY kwa nyimbo yake ya "I Believe I Can Fly"Download wimbo: Mwamba Imara - Godwin Ombeni.

Vile vile aliwahi  kuwaandikia nyimbo baadhi ya wasanii wakubwa wakiwemo Aaliyah's 1994 kwenye albamu ya Age Ain't Nothing but a Number vile vile nyimbo ya MICHAEL JACKSON inayoitwa YOU ARE NOT A LONE iliandikwa na R.KELLY chama cha kurecord muziki huko marekani Recording Industry Association of America (RIAA) kinatambua mchango wa r.kelly hasa ukilinganisha kuwa ndie msanii mwenye record ya kuuza album takriban milioni 40


Mpaka 2014 R.KELLY alikadiliwa kuwa na utajiri unaofikia dola za kimarekani milioni 150


Majina yake sahihi anaitwa Robert Sylvester Kelly ni Mkristo.By Richard Edward 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari, makala juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.